kikapu > Habari

NBA: Moto Wa Kawhi Na Paul George Umewazidi Kimo Timu Pinzani

LOS ANGELES, Marekani- Bala zitooo! Hivi ndivyo unavyoweza kusema ukiwaongolea nyota wawili wa LA Clippers, Kawhi Leonard na Pau George ambao kwasasa wametengeneza "Combo" hatari inayogawa dozi za maana kwenye ligi ya mpira wa kikapu Marekani. ...

NBA: LA Clippers Wachomoza Na Ushindi Wa Jioni Mbele Ya Houston Rockets

NBA: LA Clippers Wachomoza Na Ushindi Wa Jioni Mbele Ya Houston Rockets

LOS ANGELES, Marekani- Kawhi Leonard amepigilia misumari ya sekunde za mwisho na kuihakikishia timu yake ya LA Clippers ushindi wa vikapu 122-119 dhidi ya Houston Rockets kwenye mchezo ambao ulikuwa na vuta ni kuvute ya aina yake. ...

NBA: Celtics Wasalimu Amri Mbele Ya Bunduki Za Kawhi Leonard Na Paul George

NBA: Celtics Wasalimu Amri Mbele Ya Bunduki Za Kawhi Leonard Na Paul George

BOSTON, Marekani- Kitu ambacho kilikuwa kikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi wa LA Clippers kimetimia baada ya alfajiri ya leo kuwashuhudia wachezaji wawili nyota Paul George na Kawhi Leonard wakicheza timu moja kwa mara ya kwanza. ...

NBA: San Antonio Spurs Wakwaa Kisiki Mbele Ya Dallas Mavericks

NBA: San Antonio Spurs Wakwaa Kisiki Mbele Ya Dallas Mavericks

DALLAS, Marekani- Luka Doncic amefunga vikapu 42 ambapo ni idadi kubwa zaidi kwenye maisha yake ya mpira wa kikapu kwenye mechi moja na kuiwezesha timu yake ya Dallas Maverick kuibuka na ushindi wa 117-110 dhidi ya San Antonio Spurs. ...

NBA: LeBron James Awasha Moto, Kobe Bryant Akishuhudia Jukwaani

NBA: LeBron James Awasha Moto, Kobe Bryant Akishuhudia Jukwaani

LOS ANGELES, Marekani- Mtaalamu Lebron James ameendeleza kiwango chake bora msimu huu baada ya alfajiri ya leo kufanikiwa kufunga alama 33 akiiwezesha timu yake ya LA Lakers kuibuka na ushindi wa 122-101 dhidi ya Atlanta Hawks. ...

NBA: Golden State Warriors Kukosa Huduma Ya D'Angelo Russell Kwa Wiki Mbili

NBA: Golden State Warriors Kukosa Huduma Ya D'Angelo Russell Kwa Wiki Mbili

CALIFORNIA, Marekani- Mwaka wa tabu: Hivi ndivyo unaweza kusema ukiwaongelea Golden Sate Warriors ambapo taarifa zimetoka kuwa watakosa huduma ya mchezaji wao D'Angelo Russell kwa kipindi cha takribani wiki mbili. ...

NBA: James Harden Afanya Balaa Lingine Rockets Wakishinda Mechi Ya Saba Mfululizo

NBA: James Harden Afanya Balaa Lingine Rockets Wakishinda Mechi Ya Saba Mfululizo

HOUSTON, Marekani- James Harden amefunga vikapu 49 na kuiwezesha timu yake kuiwezesha timu yake ya Houston Rockets kuibuka na ushindi wa vikapu 125-105 dhidi ya timu ya Minnesota Timberwolves. ...

NBA: Boston Celtic Wawatandika GSW Na Kufikisha Ushindi Wa 10 Mfululizo

NBA: Boston Celtic Wawatandika GSW Na Kufikisha Ushindi Wa 10 Mfululizo

BOSTON, Marekani- Hali imeendelea kuwa nzuri kwa timu ya Boston Celtic baada ya hii leo tena kuibuka na ushindi wa vikapu 105-100 dhidi ya timu inayoangamia ya Golden State Warriors. ...

NBA: LA Clippers Wapigwa Kwa Mara Ya Pili Mfululizo

NBA: LA Clippers Wapigwa Kwa Mara Ya Pili Mfululizo

LOS ANGELES, Marekani- Timu ya LA Clippers wamekutana na kipigo cha vikapu 132-127 kutoka kwa New Orleans Pelicans. ...

NBA: Kyle Kuzma Aing'arisha LA Lakers Dhidi Ya Suns Akitokea Benchi

NBA: Kyle Kuzma Aing'arisha LA Lakers Dhidi Ya Suns Akitokea Benchi

LOS ANGELES, Marekani -Kyle Kuzma ameibuka shujaa wa timu ya LA Lakers baada ya kufunga alama 23 akitokea benchi na kuisadia timu yake kupata ushindi wa jioni wa vikapu 123-115 dhidi ya Phoenix Suns. ...

NBA: Kemba Walker Aiongoza Celtic Kushinda Mechi Ya 8 Mfululizo

NBA: Kemba Walker Aiongoza Celtic Kushinda Mechi Ya 8 Mfululizo

BOSTON, Marekani -Kemba Walker amefunga vikapu 29 na kuiwezesha timu yake ya Boston Celtic kuibuka na ushindi 116-106 dhidi ya Dallas Mavericks. ...

NBA: Golden State Warriors Wapoteza Mchezo Wao Wa 8 Msimu Huu

NBA: Golden State Warriors Wapoteza Mchezo Wao Wa 8 Msimu Huu

CALIFORNIA, Marekani- Hali ya timu ya Golden State Warriors inazidi kuwa mbaya ndani ya ligi ya NBA baada ya alfajiri ya leo tena kukubali kipigo cha 114-108 kutoka kwa Oklahoma Cuty Thunder. ...

NBA: Mambo 5 Tuliyojifunza Kwenye Wiki Ya Pili Ya Ligi Ya Kikapu Marekani

NBA: Mambo 5 Tuliyojifunza Kwenye Wiki Ya Pili Ya Ligi Ya Kikapu Marekani

TORONTO, Marekani- Ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani NBA, imeingia kwenye wiki yake ya tatu na michezo inaendelea kupamba moto kweli kweli. ...

NBA: Giannis Awawashia Moto Clippers, GSW Wapokea Kipigo Cha Sita Msimu Huu

NBA: Giannis Awawashia Moto Clippers, GSW Wapokea Kipigo Cha Sita Msimu Huu

LOS ANGELES, Marekani- Giannis Antetokounmpo amefunga vikapu 38, rebound 16 na kuiwezesha timu yake Milwaukee Bucks kuibuka na ushindi wa nne mfululizo baada ya kuwafunga LA Clippers kwa vikapu 129-125. ...

NBA: LeBron James Aupiga Mwingi, LA Lakers Wakishinda Mechi Ya Sita Mfululizo

NBA: LeBron James Aupiga Mwingi, LA Lakers Wakishinda Mechi Ya Sita Mfululizo

LOS ANGELES, Marekani- LeBron James amefunga alama 30 akifanya rebound 10 na assisti 11 wakati akiisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa 118-112 dhidi ya Chicago Bulls. ...

Loading more Loading More