Kaanza Kuogopa?: Kisa Kuzidiwa Uzito, Mfilipino Atishia Kugoma Kuzichapa Na Mwakinyo
DAR ES SALALAAM, Tanzania- Ikiwa zimebaki saa chache kabla ya pambano, bondia raia wa Philipino, Arnel Tinampay ametishia kugoma kupanda ulingo kama endapo mpinzani wake Hassan Mwakinyo hatopunguza uzito ambao umezidi mwilini kwake. ...