tenisi > Habari

Tennis: Rafael Nadal Aipaisha Hispania Kushinda Davis Cup

MADRID, Hispania- Wenyeji wa michuano ya Davis Cup, timu ya taifa ya Hispania wamefanikiwa kushinda taji hilo kwa kuwafunga Canada kwenye mchezo mkali wa fainali uliofanyika usiku wa kuamkia leo. ...

Davis Cup: Mabingwa Watetezi Croatia Wapigwa 3-0 Na Urusi Kwenye Mechi Ya Kwanza

Davis Cup: Mabingwa Watetezi Croatia Wapigwa 3-0 Na Urusi Kwenye Mechi Ya Kwanza

MADRID, Hispania- Mabingwa watetezi wa michuano ya tenesi "Davis Cup" wameanza kvibaya kwa kupokea kipigo cha 3-0 mbele ya timu ya taifa ya Urusi. ...

Tenesi: Stefanos Tsitsipas Ambwaga Dominic Thiem Na Kutwaa Ubingwa Wa ATP

Tenesi: Stefanos Tsitsipas Ambwaga Dominic Thiem Na Kutwaa Ubingwa Wa ATP

LONDON, Uingereza- Stefanos Tsitsipas ametoka seti moja nyuma na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa 6-7 (6-8) 6-2 7-6 (7-4) dhidi ya Dominic Thiem na hivyo kufanikiwa kushinda taji la michuano ya ATP (nane bora). ...

Tennis: Stefanos Tsitsipas Uso Kwa Uso Na Dominic Thiem Fainali Ya ATP Leo

Tennis: Stefanos Tsitsipas Uso Kwa Uso Na Dominic Thiem Fainali Ya ATP Leo

LONDON, Uingereza- Hayawi Hayawi, Sasa Yamekuwa! Sasa ni rasmi natangaza kuwa fainali ya michuano ya ATP (Nane Bora) msimu huu itakuwa ni kati ya wachezaji tenesi vijana hodari Stefanos Tsitsipas ambaye atacheza dhidi ya Dominic Thiem. ...

ATP: Rafael Nadal Aaga Mashindanoni Licha Ya Kumtandika Tsitsipas Lakini

ATP: Rafael Nadal Aaga Mashindanoni Licha Ya Kumtandika Tsitsipas Lakini

LONDON, Uingereza- Rafael Nadal ameaga mashindano ya nane bora licha ya kuibuka na ushindi dhidi ya Stefanos Tsitsipas kwenye mechi ya jana jioni. ...

Mechi Ya Kirafiki: Brazil Kupina Ubavu Dhidi Ya Argentina Nchini Saudi Arabia

Mechi Ya Kirafiki: Brazil Kupina Ubavu Dhidi Ya Argentina Nchini Saudi Arabia

RIYADH, Saudi Arabia- Leo majira ya saa mbili usiku ndani ya uwanja wa Chuo Kikuu cha King Saud kutakuwa na pambano la kukata na shoka la kirafiki baina ya mahasimu wawili wa soka la Marekani ya Kusini, Brazil v Argentina. ...

ATP: Rodger Federer Atinga Nusu Fainali Baada Ya Kumpasua Novak Djokovic

ATP: Rodger Federer Atinga Nusu Fainali Baada Ya Kumpasua Novak Djokovic

LONDON, Uingereza- Ndoto za nyota wa tenesi Novak Djokovic kumaliza mwaka akiwa kama mchezaji namba moja kwa ubora duniani zimezimwa baada ya kufungwa na Rodger Federer na kutupwa nje ya michuano ya nane bora. ...

ATP: Rafael Nadal Afufua Matumaini Ya Kutinga Nusu Fainali, Bingwa Mtetezi Apigwa

ATP: Rafael Nadal Afufua Matumaini Ya Kutinga Nusu Fainali, Bingwa Mtetezi Apigwa

LONDON, Uingereza -Mchezaji tenesi namba moja kwa ubora duniani upande wa wanaume Rafael Nadal amepambana kutoka nyuma na kufanikiwa kupata ushindi mbele ya Daniil Medvedev kwenye mchezo wa michuano ya nane bora. ...

ATP: Dominic Thiem Amchakaza Novak Djokovic Na Kutinga Nusu Fainali

ATP: Dominic Thiem Amchakaza Novak Djokovic Na Kutinga Nusu Fainali

LONDON, Uingereza- Siku mbili baada ya kumfunga Rodger Federer, Dominic Thiem ameendeleza ubabe wake dhidi ya vigogo baada ya kumtandika Novak Djokovic kwenye mchezo wa pili wa kundi A la michuano ya nane bora na kufanikiwa kutinga nusu fainali. ...

ATP: Rafael Nadal Aanza Kwa Kipigo Kutoka Kwa Bingwa Mtetezi Alexander Zverev

ATP: Rafael Nadal Aanza Kwa Kipigo Kutoka Kwa Bingwa Mtetezi Alexander Zverev

LONDON, Uingereza- Mchezaji tenesi namba moja kwa ubora duniani upande wa wanaume, Rafael Nadal amepokea kichapo kutoka kwa Alexander Zverev kwenye mchezo wa kwanza tu wa michuano ya nane bora. ...

ATP: Djokovic Aanza Kwa Ushindi Wakati Federer Akitepeta Mbele Ya Thiem

ATP: Djokovic Aanza Kwa Ushindi Wakati Federer Akitepeta Mbele Ya Thiem

LONDON, Uingereza -Novak Djokovic ameanza kwa kishindo michuano ya nane bora kwa kumfunga Matteo Berrettin kwa juma ya seti 6-2 6-1 kwenye mchezo wa kundi A. ...

ATP: Rafael Nadal Amtangazia Kiama Novac Djokovic Kwenye Nafasi Ya Kwanza

ATP: Rafael Nadal Amtangazia Kiama Novac Djokovic Kwenye Nafasi Ya Kwanza

LONDON, Uingereza- Mchezaji wa tenesi, Rafael Nadal raia wa Hispania amesema kuwa yupo fiti kuianza michuano ya nane bora ya dunia (ATP) na kupambana dhidi ya Novak Djokovic kuwania nafasi ya kwanza kwa ubora duniani. ...

ATP: Novak Djokovic Na Rodger Federer Watupwa Kwenye Kundi Moja Huko London

ATP: Novak Djokovic Na Rodger Federer Watupwa Kwenye Kundi Moja Huko London

LONDON, Uingereza- Wachezaji tenesi nyota kwa upande wa wanaume, Rodger Federer na Novak Djokovic wamepangwa kundi moja la michuano ya dunia ya mchezo huo ambayo imepangwa kuanza kutimua vumbi Jumapili ijayo nchini Uingereza. ...

Tenesi: Novak Djokovic Ashinda Taji La Tano La Paris Masters

Tenesi: Novak Djokovic Ashinda Taji La Tano La Paris Masters

PARIS, Ufaransa- Mchezaji tenesi namba moja duniani kwa upande wa wanaume, Novak Djokovic ameshinda taji la Paris Masters baada ya kumfunga Denis Shapovalov kwenye mchezo wa fainali. ...

Paris Masters: Novak Djokovic Atinga Robo Fainali Baada Ya Kumfunga Kyle Edmund

Paris Masters: Novak Djokovic Atinga Robo Fainali Baada Ya Kumfunga Kyle Edmund

PARIS, Ufaransa- Mchezaji wa tenesi namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic amefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Paris Masters baada ya kumfunga Klyle Edmund kwenye mchezo wa 16 bora. ...

Loading more Loading More