magari > Habari

Fomular 1: Msimu Wa Mbio Za Magari Unafungwa Leo Kwenye Abu Dhabi GP

ABU DHABI, UAE- Msimu wa Fomular 1 unatarajia kufungwa leo huko kwenye nchi za Falme za Kiarabu kwenye Abu Dhabi GP ambpo tayari Kampuni ya Mercedes pamoja na dereva wao Lewis Hamilton wameshatawa mataji mapema. ...

Fomular 1: Charles Leclerc Amtupia Lawama Vettel Kufuatia Ajali Ya Brazilian GP

Fomular 1: Charles Leclerc Amtupia Lawama Vettel Kufuatia Ajali Ya Brazilian GP

ABU DHABI, UAE- Dereva wa kampuni ya Ferrari, Charles Leclerc amesema kuwa Sebastian Vettel alikuwa anajua jinsi ya kuiepusha ajali iliyotokea kwenye Brazilian GP lakini hakuamua kufanya hivyo. ...

Fomular 1: Vibweka Vyatawala Max Verstappen Akishinda Brazilian GP

Fomular 1: Vibweka Vyatawala Max Verstappen Akishinda Brazilian GP

SAO PAULO, Brazil -Dereva wa Red Bull, Max Verstappen ameshinda mbio za Brazil GP kwa mtindo wa aina yake baada ya vibweka vingi kutawala kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili usiku. ...

Formula 1: Lewis Hamilton Atangaza Nia Ya Kuendelea Kudumu Ndani Ya

Formula 1: Lewis Hamilton Atangaza Nia Ya Kuendelea Kudumu Ndani Ya "Game"

LONDON, Uingereza- Bingwa mara sita wa mashindano ya Formula 1, Lewis Hamilton ameweka wazi kuwa bado ana nia ya kuendelea kushiriki michuano hiyo kwa muda mrefu zaidi. ...

Tetesi: Formula 1 Wakataa Uwezekano Wa

Tetesi: Formula 1 Wakataa Uwezekano Wa "Super Sunday"

LONDON, Uingereza- Mamlaka zinazosimamia mchezo wa mashindano ya magari maarufu kama Formula 1 zimekanusha uwezekano wa kufanyika kwa kitu kilichopachikwa jina la "Super Sunday". ...

Formula 1: Nini Kinafuata Baada Ya Lewis Hamilton Kushinda Taji La Sita?

Formula 1: Nini Kinafuata Baada Ya Lewis Hamilton Kushinda Taji La Sita?

MIAMI, Marekani- Usiku wa kuamkia jana, dereva nguli wa kampuni ya Mercedes, Lewis Hamilton alifanikiwa kushinda taji lake la sita la dunia. ...

Fomular 1: Hamilton Aikaribia Rekodi Ya Schumacher Baada Ya Kushinda Taji La Dunia

Fomular 1: Hamilton Aikaribia Rekodi Ya Schumacher Baada Ya Kushinda Taji La Dunia

MIAMI, Marekani- Lewis Hamilton ameshinda taji la sita la dunia baada ya kumaliza michuano ya USA GP akiwa kwenye nafasi ya pili nyuma ya derecva mwenzake wa Mercedes, Valtteri Bottas. ...

Formula 1: Lewis Hamilton Njia Nyeupe Kushinda Taji Lake La Sita Ndani Ya US GP

Formula 1: Lewis Hamilton Njia Nyeupe Kushinda Taji Lake La Sita Ndani Ya US GP

MIAMI, Marekani -Dereva wa magari bingwa mara tano, Lewis Hamilton ameonesha kupania kushinda taji lake la sita la dunia msimu huu baada ya kufanya vizuri kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya US GP ...

Formula 1: Lewis Hamilton Ambwaga Sebastian Vettel Na Kutwaa Ubingwa Wa Mexico GP

Formula 1: Lewis Hamilton Ambwaga Sebastian Vettel Na Kutwaa Ubingwa Wa Mexico GP

MEXICO CITY, Mexico- Lewis Hamilton ameshinda Mexico GP baada ya kuwadhibiti vizuri wapinzani wake kutoka kampuni ya Ferrari hasa Sebastian Vettel ambaye alionesha kuwa ni kikwazo kwake kwenye mbio hizo. ...

Formula 1: Valtteri Bottas Ashinda Japan GP Na Kuifanya Mercedes Kuweka Rekodi Ya Dunia

Formula 1: Valtteri Bottas Ashinda Japan GP Na Kuifanya Mercedes Kuweka Rekodi Ya Dunia

TOKYO, Japan- Dereva wa Mercedes, Valterri Bottas ameshinda mbio za Japan GP na kuiweezesha kampuni yake kuweka rekodi mpya ndani ya Formula 1 ya ushindi mara mbili ndani ya msimu mmoja kwa miaka sita mfululizo. ...

Formula 1: Japan GP Yasitisha Shughuli Zake Za Jumamosi Kupisha Kimbunga

Formula 1: Japan GP Yasitisha Shughuli Zake Za Jumamosi Kupisha Kimbunga

TOKYO, Japan -Mamlaka zinazosimamia michuano ya mashindano ya magari Formula 1 wametangaza kughairisha shughuli zote za mchujo wa Japan GP zilizotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi kupisha kimbunga. ...

Formula 1: Japan GP Ipo Kwenye Hatihati Ya Kutokufanyika Kutokana Na Kimbunga

Formula 1: Japan GP Ipo Kwenye Hatihati Ya Kutokufanyika Kutokana Na Kimbunga

TOKYO, Japan -Mamlaka zinazosimamia ligi ya mashindano ya magari maarufu Formula 1 zimesema kuwa zinakusudia kusitisha Japan GP iliyopangwa kufanyika wikiendi hii kutokana na tishio la kimbunga kikali kinachoweza kuikumba nchi ya Japan. ...

Formula 1: Japan GP Kumzalisha Nyota Mwingine Wa Mbio Za Magari Dunia

Formula 1: Japan GP Kumzalisha Nyota Mwingine Wa Mbio Za Magari Dunia

TOKYO, Japan -Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya wapenzi wa mashindano ya magari kushuhudia kipute cha Japan GP, taarifa zimetoka zikisema kuwa kwenye mashindano hayo kutakuwa na jina jipya ambalo lituwa linashiriki kwa mara ya kwanza. ...

Formula 1: Lewis Hamilton Atamani Kufanya Kazi Na Sebastian Vettel

Formula 1: Lewis Hamilton Atamani Kufanya Kazi Na Sebastian Vettel

LONDON, Uingereza- Bingwa wa michuano ya mbio za magari, Lewis Hamilton amesema kuwa anafaa kufanya kazi ndani ya Ferrari. ...

Formula 1: Lewis Hamilton Atoa Lake La Moyoni Kuhusu Kampuni Ya Ferrari

Formula 1: Lewis Hamilton Atoa Lake La Moyoni Kuhusu Kampuni Ya Ferrari

SINGAPOO, Singapore -Bingwa wa zamani wa mbio za magari wa kampuni ya Mercedes, Lewis Hamilton amesema ni ngumu sana kwasasa kushindana na madereva wa kampuni ya Ferrari kutokana na ubora wao unaosababishwa na aina ya magari wanayotumia. ...

Loading more Loading More