SportPesa Jackpot: Hata Wanawake Nao Wamo Kwenye Msako Wa Mamilioni (Sehemu Ya 1)
22nd October 2019
DAR ES SALAAM, Tanzania -Asilimia kubwa ya watu kwenye maeneo mbalimbali huwa wanaamini kuwa michezo ya kubashiri ipo kwa ajili ya wanaume tu jambo ambalo sio kweli.

Hata wewe unaweza kuibuka Milionea kama ilivyokuwa kwa Scolastika. Kitita cha Tsh 252,838,640 za SportPesa Jackpot kipo mezani wikiendi hii.
Bofya HAPA kubashiri mechi 13 kwa usahihi uwe Milionea na ukipatia mechi 10, 11 au 12 kuna BONUS za kibabe.
Kama wewe utaendelea kubaki na imani hiyo sina namna ya kukubadilisha lakini acha nikupe hii tu moja kutoka kampuni ya SportPesa.
Mapema mwezi huu kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa imefanikisha kuinua maisha ya mwanadada Scolastika Ngwalueson ambaye ni mjasiriliamali mdogo akijishughulisha na uuzaji wa mihogo maeneo ya Mbagala Chamanzi jijini Dar es salaam.
Scolastika mama wa mtoto mmoja ameshinda kiasi cha shilingi 260,319,980 baada ya kufanikiwa kubashiri mechi 13 za SportPesa Jackpot bila kukosea.
Wakati wengine wakiamini kuwa michezo hiyo ni ya kiume, Scola amekuwa ni ushahidi tosha na hivi sasa tunamtangaza rasmi kuwa ni mmoja wa mamilionea nchini Tanzania akiungana na Kingsley Pascal na Magabe Marwa ambao kwa pamoja walijishindia zaidi ya Shilingi milioni 825 miezi miwili iliyopita.
Washindi wa kwanza kabisa wa Jackpot ya SportPesa ya Tsh 825,913,640, Magabe Marwa (kulia) na Kingsley Pascal kushoto wakiongea na waandishi wa habari mara baada ya kutua uwanja wa Ndege wa JNIA mwezi Agosti mwaka huu
Kiroho safi
Bi Scolastika ni mama wa mtoto mmoja na pia ni mke wa Bwana Ally Katundu ambaye ni fundi viatu maeneo ya Mbagala Chamanzi.
Wakati akiwa anajenga beti zake kwa kushirikiana kwa ukaribu na kaka yake, Edgar, Bi Scolastika huwa anapata baraka zote kutoka kwa mumewe.
Scola Katusua; Bi Scolastica Akabidhiwa Hundi Baada Ya Kushinda SportPesa Jackpot Ya Tsh 260,319,980
Ally na Edgar wamefanya kazi kubwa na ya kuigwa kwa wanaume wengine ambao wamekuwa na dhana potofu kuhusu michezo ya kubashiri na wanawake.
SportPesa News ilipata fursa ya kuzungumza na familia ya Scolastika ambapo ilitaka kusikia kutoka kwa mumewe juu ya ushindi huo mkubwa wa mkewe.
“Nilikuwa najua kuwa mke wangu anacheza na SportPesa,”
“Mimi kwangu naona ni sawa kwasababu siku hizi utandawazi ni mkubwa na wanawake nao wanahaki na uwezo wa kujihusisha na michezo hii.
“Mimi nawashauri wanaume wenzangu kuepeukana na dhana potofu ya kuwazuia wanawake kujihusisha na michezo ya kubashiri hususani SportPesa kwani ina manufaa kama ambavyo mimi na familia yangu tumeweza kunufaika,” alitoa rai Bwana Katundu.
Mihogo tena basi?
Lakini tukaona tusiondoke hivi hivi bila kumuuliza Bi Scolastika kama ndio ataachana na biashara yake ya mihogo au atakomaa nayo.
"Hela zote hizi alafu nianze kunuka moshi tena, siyo kweli," alisema Scolastika kwa bashasha la aina yake.
Usikose sehemu ya pili ya makala haya kujua Bi Scola pamoja na familia yake wamejipangaje kubadili maisha yao moja kwa moja kupitia kitita hicho cha SportPesa Jackpot.
Hata wewe unaweza kushinda
Hata wewe unaweza kuibuka Milionea kama ilivyokuwa kwa Scolastika. Kitita cha Tsh 252,838,640 za SportPesa Jackpot kipo mezani wikiendi hii.
Bofya HAPA kubashiri mechi 13 kwa usahihi uwe Milionea na ukipatia mechi 10, 11 au 12 kuna BONUS za kibabe.
Imeandaliwa na Badrudin Yahaya na kuhaririwa na Adam Mbwana