Jackpot Ya SportPesa: Mshindi Wa Bonus Ya Tsh Milioni 23,799,150 Awapa Neno Wazazi Nchini
26th September 2019
DAR ES SALAAM, Tanzania -Wazazi nchini wameaswa kutowazibia riziki ya kuwa milionea vijana wao kupitia kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa.
"Nawashauri watanzania wenzangu hasa vijana wasiwe na wasi wasi na kampuni ya SportPesa kwani hawana ubabaifu lakini pia wasikate tamaa pindi mambo yanapokuwa yanakwenda tofauti kwani huwezi jua Mungu amepanga lini ushinde," amesema Joachim.
Rai hiyo imetolewa na Richard Mbele ambaye ni kaka wa mshindi wa Tsh 23,799,150 za Jackpot Bonus, Joachim Charles mkazi wa Mbinga, Ruvuma aliyejinyakulia fedha hizo baada ya kubashiri mechi 12 kati ya 13 za Jackpot ya SportPesa wiki iliyopita.
"Wapo wazazi ambao wanaamini kuwa mchezo huu hauna maana bali ni kupoteza muda tu.
"Mimi nashauri kwamba isiwe lazima kila mtu acheze lakini ni vyema wazazi wawasapoti watoto wao wenye katika kucheza mchezo huu na si kuwakataza kwani riziki mafungu saba hauwezi kujua fungu lako ni lini," amesema Mbele ambaye ndiye alimfundisha mdogo wake kucheza na SportPesa.
Mwaka Mmoja Fedha Kibao
Kwa upande wake mshindi wa bonus hiyo, Joachim amesema kuwa alianza kucheza mwaka 2018 baada ya kufundishwa na kaka yake.
Akiongea na SportPesa News, Joachim anasema kuwa kuna kipindi alikata tamaa na kusimama kabisa kucheza kabla ya kuja kuendelea hadi aliposhinda fedha hizo.
"Nimeanza kucheza mwaka 2018 ikiwa ni kipindi cha takribani mwaka mmoja hivi baada ya kufundishwa na kaka yangu.
"Hata hivyo safari yangu haikuwa rahisi kwani kuna kipindi nilikata tamaa kabisa na nikaacha kucheza, lakini baadaye nilirudi kwa nguvu nikacheza na hadi leo nimeshinda," amesema Joachim ambaye ni fundi wa magari.
Hakuna Ubabaifu
Joachim, 25, anawaamsha Watanzania kwa kuwaambia kuwa wasikate tamaa kama wana nia ya kushinda kupitia kampuni ya SportPesa.
Anaendelea kwa kusema kuwa mchezo huu hauna suala la kujuana kwani ukiweka bashiri zako na matokeo yakija kama ulivyoweka basi hakuna wakukunyima zawadi zako.
"Mimi sina hata mtu mmoja ninayemjua ndani ya kampuni hii, nimeshinda na nimekuja kuchukuwa hela zangu.
"Nawashauri watanzania wenzangu hasa vijana wasiwe na wasi wasi na kampuni ya SportPesa kwani hawana ubabaifu lakini pia wasikate tamaa pindi mambo yanapokuwa yanakwenda tofauti kwani huwezi jua Mungu amepanga lini ushinde," amesema Joachim.
Cheza Na SportPesa, Uwe Milionea
Wikiendi hii Kuna mtonyo mwingine wa Jackpot wa Tsh 260,319,980 na ukipatia mechi 13 unakuwa MILIONEA fasta. Lakini pia usisahau ukipatia mechi 10, 11 au 12 Kuna BONUS za kibabe kama alivyoshinda Joachim.
Bofya HAPA kucheza JACKPOT sasa!
Imeandaliwa na Badrudin Yahaya