Connect with us

Habari

Tetesi: Barcelona Yaandaa Paundi Milioni 120 Kumng’oa Eden Hazard Chelsea

Spread the love

Klabu ya Barcelona wanajiandaa kutoa donge nono kwa klabu ya Chelsea kwa ajili ya kuinasa saini ya Eden Hazard kwa dau la paundi milioni 120

Real Madrid wamekuwa wakimuwinda nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ubelgiji kwa muda mrefu sasa huku Barcelona wakiwa na matumaini ya kumshawishi Chelsea ili kuipata saini ya winga huyo mshambuliaji

Chelsea wamekuwa na shauku ya kumsajili Sergi Roberto kutoka Barcelona na kiungo huyo anaweza kujumuishwa kwenye dili hilo la kumsajili Hazard mwenye umri wa miaka 26 ambaye kwa sasa ni majeruhi


Spread the love

More in Habari