Connect with us

Habari

Mzee Kilomoni Apigwa Chini Simba Huku Nafasi Yake Ikichukuliwa na Adam Mgoi

Spread the love

DAR ES SALAAM, Tanzania -Wanachama wa Klabu ya Simba wamemchagua Ahaj Adam Mgoi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa kuwa mdhamini wa klabu akichukua nafasi ya Mzeen Khamisi Kilomoni ambaye ameondolewa kwenye nafasi hiyo.

Katika mkutano mkuu wa wanachama wa klabu ya Simba ulifanyika leo kwenye ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere International Conference Center, imeshuhudiwa Profesa Juma Kapuya akipitishwa kwa sauti moja na mkutano mkuu wa wanachama kuwa mdhamini wa wekundu hao wa msimbazi akichukua nafasi ya Marehemu Ally Klaiyst Sykes.

Sambamba na Mzee Kilomoni kupigwa chini kama mdhamini wa klabu hiyo lakini pia amesimamishwa uanachama na ataandikiwa barua kwa ajili ya kumpa nafasi ya kujitetea.

 


Spread the love

More in Habari