Connect with us

Habari

Hatimaye Wallace Karia Aibuka Kinara Kwenye Kinyangányiro Cha Urais Wa TFF

Spread the love

DODOMA, Tanzania -Hatimaye Wallace Karia ametangazwa kuibukamshindi wa kinyang’anyiro cha Urais wa Shirikisho la Soka nchini baada ya kuwabwaga wapinzani wake kwenye uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma jioni ya leo.

Karia ameibuka na ushindi wa jumla ya kura 95 akiwabwaga wapinzani wake sita kwa umbali mkubwa huku pia Michael Wambura naye akiibuka kuwa Makamu wa Rais

//platform.twitter.com/widgets.js

Taarifa kamili itaendelea kukujia hivi karibuni


Spread the love

More in Habari